TRA SACCOS
  • Home
  • About Us
  • Products
  • Forms
  • Members Portal
  • FAQ
  • Contact us

Kuhusu TRA SACCOS

  • Dira, Dhima, na Malengo
  • Utawala
  • Muundo wa Chama
  • Bodi
  • Sheria na Kanuni

Mikopo

  • Maendeleo ya Jamii
  • Dharura
  • Papo kwa Papo
  • Week End
  • Mkopo wa Elimu
  • Mkopo wa Jipange

Akaunti za Akiba

  • Akaunti ya WEKEZA
  • Akaunti ya Akiba ya Elimu
  • Akaunti ya Akiba ya Afya
  • Akaunti ya Maandalizi ya Kustaafu
  • Huduma ya Rambirambi
  • Akaunti ya Akiba ya Lazima

Uncategorised

Welcome to TRA SACCOS LTD Website

TRA SACCOS LTD is a registered Savings and Credit Co-operative Society whose main objective is to mobilize savings from members and in return provide credit facilities. TRA SACCOS LTD is an employee-based SACCOS which was established under the current governing Co-operative Societies ACT No 20 of 2003 in 2006 and Licensed as Class B under microfinance act No 10 of 2018 in 2021. Other objectives of the SACCOS are to encourage thrift among its members by educating the members the advantages of developing a savings behavior, through proper investment best practices aimed at improving the social and economic conditions of the members. This is achieved by offering the members complementary savings schemes, credit facilities and other financial products as may be required by the members from time to time.

 

AKAUNTI ZA BENKI ZA CHAMA

Jina la Akaunti ni: TRA SACCOS LTD:

  • NBC 012103020266,
  • CRDB 01J1328947802,
  • NMB 20310008081,
  • AZANIA 001000210497

Mkopo wa Elimu

Mkopo wa Elimu ni aina ya mkopo wa muda mfupi unaotolewa kwa wanachama wa TRA SACCOS kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kulipa karo za shule/chuo kwa ajili yake, ndugu au wategemezi wake.

 

Faida za Mkopo wa Elimu

  1. Kiasi cha juu cha mkopo ni mara mbili ya Akiba ya Elimu Akaunti.
  2. Marejesho ni hadi kipindi cha miezi 18.
  3. Riba ya asilimia nane(8%) kwa mwaka(Njia ya Salio linalobaki (Reducing Balance))
  4. Mwanachama ataruhusiwa kuongeza mkopo juu ya mkopo wa elimu alio nao (elimu top up) ilimradi jumla ya mkopo wake Pamoja na riba havitazidi mara mbili ya akiba zake katika akaunti ya Akiba ya Elimu.
  5. Malipo ya Mkopo huu hufanyika ndani ya masaa 24 kwa njia ya Simu au Benki.


Jinsi ya kurejesha Mkopo
Urejeshaji wa mkopo unaweza kufanyika kwa njia ya makato ya mshahara au kulipa Bank katiaka akaunti za Chama.


Akaunti za Benki za Chama
Jina la Akaunti ni: TRA SACCOS LTD:
• NBC 012103020266,
• CRDB 01J1328947802,
• NMB 20310008081,
• AZANIA 00100021049
Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Elimu

 

Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Elimu

Muombaji atahitajika kujaza fomu ya maombi (TRASACCO-2) na kuiwasilisha kwa Mwenyekiti wa chama. Bofya maneno haya kupakua fomu ya maombi ya mkopo.

Bidhaa na Huduma

BIDHAA ZA AKIBA
1. Akaunti Ya Wekeza
2 Akaunti ya Maandalizi ya Kustaafu (Retirement Savings)
3 Akaunti ya Elimu (Education Savings Facility)
4 Akaunti ya Akiba ya Lazima (Statutory Savings Facility)
5 Huduma ya Rambirambi (Condolences Assistance facility)
   
BIDHAA ZA MIKOPO
1. Mkopo wa Maendeleo ya Jamii
2. Mkopo wa Elimu (Education Savings Facility)
3. Mkopo wa Papo kwa Papo (Papo2Papo Loan facility)
4. Mkopo wa Dharura
5. Week-End Loan (Mkopo kwa Sekunde)

 

FOMU MBALIMBALI

NA. JINA LA FOMU
1. Pakua Fomu ya Kufungua akaunti ya JIKIMU
   
2. Fomu ya kufungua akaunti mpya (Fomu hii ijaze, pakua pdf dokumenti, kisha tuma kwa barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.)
   
3. Pakua Fomu ya Maombi Kujiunga na Huduma za Mtandaoni (Member's Portal, Weekend Loan)
   
4. Pakua Fomu ya Kujiunga Uanachama
   
5. Pakua Fomu ya Makato
   
6. Pakua Fomu ya Usajiri Malipo ya Rambirambi
   
7. Pakua Fomu ya Tangazo la Kifo kwaajili ya Malipo ya rambirambi
   
  FOMU ZA MKOPO
8. Pakua Fomu ya Maombi ya Mkopo (SDL,ELIMU, JIPANGE & AFYA)
9. Pakua Fomu ya Mkopo wa PAPO2PAPO NA DHARURA

Page 1 of 2

  • 1
  • 2
  1. You are here:  
  2. Home
  3. Uncategorised

Products

wastaafuaccount.gif

News

 

Kupanda kiwango cha HISA hadi TZS 1,000,000

Njia rasmi za mawasiliano

Akaunti Ya Wekeza

  Bofya Hapa Kuomba Mkopo wa Week-end

Jinsi ya Kulipa Mkopo wa Week-end